SALMA JABU NISHA'S BLOG
Blog for latest news and gossip, movies,fashions and music.
Wednesday, 27 January 2016
Angalia Picha Mpya Kali Za Nisha AMbazo Ni KIBOKO KABISAAA.
Nisha, King Majuto, Ben Branco Wafanya Makubwa Ndani Ya KIBOKO KABISA.
Kama kawaida star mkubwa wa filamu nchini Salma Jabu Nisha amesikiliza kilio cha mashabiki wake kwa muda sasa wakitaka filamu mpya. Nisha ameamua kusikiliza kilio cha mashabiki kwa kuja na filamu mpya ya KIBOKO KABISAA akiwa na Mzee Majuto, Ben Branco na wanafunzi wengine watukutu humo ndani. Filamu inahusu maisha ya shule ya boardin g Nisha akicheza kama Matron na King Majuto kama mpishi. Filamu ya KIBOKO KABISA inaingia sokoni tarehe 29 Ijumaa hii. Usikose kununua nakala yako halisi.
Tuesday, 8 September 2015
Nisha Awaziba Mdomo Haters Na Hizi Picha Zake Mpya.
Actress Salma Jabu Nisha is back from China and the gift she brought to us is non other than hot and sexy photos. From rocking long t-shirt to flaunt her sexy legs to floral mini dress. let's say this is her best photo shoot so far. Look more pics below...........
Thursday, 3 September 2015
Photos: Kutoka Birthday Ya Salma Jabu Nisha.
Muigizaji wa filamu nchini Salma Jabu Nisha alifanya birthday party yake siku chache zilizopita na hizi ni picha za tukio hilo........
Kama Ningetaka Mtoto Mweupe Ningezaa Na Mzungu: Aunty Ezekiel
Aunty Ezekiel amewajia juu mashabiki wake wanaomuongelea vibaya mtoto aliyezaa na mnenguaji wa Diamond Platnumz, Mozee Iyobo.
Friday, 21 August 2015
Lulu Avamiwa Na Vibaka.
Elizabeth Michael ‘Lulu’ amekumbwa na masaibu mapya ya kuvamiwa na vibaka nyumbani kwake, Mbezi Beach jijini Dar na kumuibia simu zake mbili aina ya Iphone.
Tukio hilo lilitokea hivi karibuni ambapo wezi hao wanadaiwa kuruka ukuta na kufanikiwa kuvunja dirisha la chumba anacholala mrembo huyo na kumliza simu hizo huku yeye akiwa amelala fofofo.
Kwa mujibu wa chanzo makini, wezi hao walitumia mbinu za ‘kisayansi’ kutekeleza zoezi lao kwani siku hiyo Lulu alirudi nyumbani mapema na akawa anachati kwa kutumia moja ya simu hizo, ghafla akapitiwa ambapo alikuja kushtuka na kukuta dirisha limevunjwa na simu zimetoweka.
Gabo: Sijaona Msanii Wa Kushindana Nae Katika Filamu Nchini.
Msanii wa filamu aliyejizolea umaarufu miaka ya hivi karibuni, Salim Ahmed maarufu kwa jina la Gabo amesema haoni msanii anayempa changamato.
Akizungumza kwenye kipindi cha Take One cha Clouds TV, Gabo alisema wengi wamekuwa wakimwambia anaringa kutokana na kuwaambia ukweli.
“Kwa hapa Tanzania sijui ndio maana wanasema mimi naringa,” alisema Gabo alipoulizwa ni msanii gani anayempa changamoto.
Subscribe to:
Posts (Atom)