Habari za uhakika ni kuwa star mkubwa wa filamu nchini Salma Jabu Nisha
ameamua kutoa offer ya kwenda Zanzibar kwa Team Nisha mara baada ya
filamu yake mpya ya GUMZO kuingia sokoni tarehe 27 mwezi huu wa
February. Team nisha imekuwa ikizikubalia kazi za Nisha na Nisha
mwenyewe na kumsapoti kwenye kazi zake. Mtu yeyote yule huweza kujiunga
na Team Nisha WhatsApp kama unazikubali filamu za Nisha na kazi za
Nisha. Nisha na Team Nisha pia hutembelea na kutoa misaada kwa
wasiojiweza kama vile watoto yatima.
Nisha
No comments:
Post a Comment