Wednesday, 7 January 2015

MANAIK SANGA BAADA YA KUFANYA VIZURI KWENYE HAKUNA MATATA SASA AJA NA ''WAKE UP''

 Manaik Sanga maarufu kama Ze Don aamua kufunga na kufungua mwaka kwa kufanya movie kali inayokwenda kwa jina la ''WAKE UP'' movie hiyo iliyotumia pesa nyingi kuitengeneza inafananishwa na ''EXPANDABLE'' kwani humo kuna mastaa zaidi ya 30 kutoka bongo movie na wengine bongo flevour.
''Natarajia itakuja kufanya vizuri kwani mpaka sasa nimepokea ofa kibao za kuuza filamu hii iliyosheheni mastaa kibao kuna kampuni ya usambazaji filam iliyopo nchini Afrika kusini ya Fojoys inayomilikiwa na Mtanzania ambaye ni muandishi wa habari anayefahamika kwa jina la Fortunatus Kasomfi.'' hayo ni maneno ya Manaik Sanga ''Ze Don''
 Manaik Sanga akiwa na wasanii wenzie location
Wolper,Kajala na Irene uwoya hawa ni baadhi ya mastaa waliopo kwenye movie hiyo ya ''WAKE UP''

No comments:

Post a Comment