Sunday, 11 January 2015

NISHA'S FILM PRODUCTION KUSAKA KIPAJI KIPYA KWA WANAUME KAZI KWENU

Mwaka mpya mambo mapya,wasanii wapya vipaji vipya navyo tuvipe nafasi au sio?.. Je unahisi una kipaji? Hii ni kwa wanaume kwanza,wanawake nimekuwa nikiwapa kipaumbele sana ila sasa wanaume then tutarudi kwa wanawake.. km una kipaji na umrefu una sifa na muda wa kuigiza what's up picha yako na cv zako.. namaanisha umejuaje km unaweza kuigiza au umefanya kazi ipi na ipi,.. @nishasfilmproduction pekee itavumbua ndoto zako za muda mrefu na utakuwa staring.. ukishirikiana na ma staring wngn kwny filamu ijayo, +255712804050 changamkia tenda au mtag mwny ndoto za kuigiza hapa.. #shukran

1 comment: