Tuesday, 30 September 2014

Kazi Zangu Ni Bora Ndiyo Maana Mashabiki Wakanipigia Kura Kupata Tuzo: Nisha

Nisha na Haji Adam(Baba Haji)
Star mkubwa wa filamu nchini Tanzania Salma Jabu Nisha juzi alionyesha furaha kubwa baada ya kupata tuzo ya muigizaji bora wa kike mchekeshaji(best comedienne) katika tuzo za Action And Cut Viewers Choice Awards zilizotolewa Sunrise resort Kigamboni, Dar es salaam.
Nisha alisema kuwa hakuamini kupata tuzo hiyo ndiyo maana alijawa na furaha kubwa na hiyo inaonyesha ni jinsi gani kazi zake zinakubalika kwa mashabiki.

No comments:

Post a Comment