![]() |
Nisha akiwa na watoto yatima kituo cha Vingunguti |
Baada ya matukio mengi ya ajabu yanayofanana na haya ndio inakuwa chanzo cha familia kutengana, chanzo cha watoto wengi wa mitaani,uhuni,magonjwa hatarishi n.k
Kuna wanaoripotiwa kunyanyasa wasichana wao wa kazi/Watoto wasio wao kwa mfano,huyu mwanamke (namuhifadhi jina sheria hainiruhusu) aliyekamatwa kwa kosa la kumuunguza pasi house girl wake kisa yeye hazai,mimi nimelelewa na mama wa kambo, ila mapenzi aliyonipa kumtoa moyoni siwezi na ndio maana napenda watoto wote.
Wanawake wenzangu tujiulize chanzo cha haya yote ni nini? Wanaume jamani kama una mawazo au mtu anakusumbua ni bora ukae naye chini muyazungumze, hakusikilizi sikio la kufa umuache aende kwao,
Na wewe mwanamke unayemnyanyasa mtoto wa mwanamke mwenzio acha sasa kama una mawazo au stress ni bora kutafuta daktari ili akutibu hakuna ambacho hakiwezekani,ukishindwa nitafute..na sisi wanawake tujitulize na kuwatii waume zetu kwa maana hata vitabu vya dini vimesisitiza hayo,vioo wenzangu vya jamii,hembu tuoneshe taswira ama mwangaza katika kuwatetea/kuelimisha mengi yanayotatiza jamii yetu- "tubadilikeni." amesema star mkubwa wa filamu nchini Nisha Salma Jabu ambapo kwa muda sasa amekuwa mstari wa mbele katika kuisadia jamii yenye matatizo mbalimbali wakiwemo yatima.
Tuungane kwa pamoja kutokomeza wimbi la manyanyaso kwa wakina mama maana ndo mama zetu tuwapende na kuwajali kama wao wanavyo tujali sisi wanaume na kutupenda Nisha my sister my Chizi my kila kitu kwenye tasnia uko poa sana nakukubali ukiwa na babu pale mzee Majuto endelea kukaza na kutukumbuka vipaji vilivyo jificha na mwenyezi mungu akuongoze
ReplyDeleteNAKUPENDA SANA DADA ANGU NISHA 0759924509 NAMBA YANGU KAMA HUTO JALI 0712883330
ReplyDelete