Star wa filamu Swahiliwood, Salma Jabu(Nisha) muda wowote filamu yake
mpya ya Gumzo ambayo aliiandaa kupitia kampuni yake ya Nisha's Film
Production itaingia mtaani muda si mrefu kuanzia sasa. Katika filamu
hiyo wamo pia King Majuto, Wastara Juma, Hemdy Suleiman na wasanii
wengine chipukizi ambao Nisha aliwafanyia usaili ili kuwapa nafasi
waonyeshe vipaji vyao. Kwa hiyo kaa mkao wa kula.
Nisha
No comments:
Post a Comment