Star wa filamu nchini, Penina mwaka huu anakuja kivingine kwani kazi
zake nyingi zitaingia sokoni huku akiwa na filamu zake mwenyewe na
nyingine za kushirikishwa. Akizungumza na mtandao huu Penina alisema "Kwa mwaka huu najiandaa na movie
mbili zangu, pia zinazo kuja sokoni ni. Damu Msituni, Mrithi Wangu Never Come Twice, Laana na Machungu Ya Ndoa"
Penina
Hizo filamu zimeshatoka! Nimeiona moja tu, katika hizo tatu.
ReplyDelete