Monday, 24 February 2014

NISHA KUTOA OFFER YA KWENDA ZANZIBAR KWA TEAM NISHA.


Habari za uhakika ni kuwa star mkubwa wa filamu nchini Salma Jabu Nisha ameamua kutoa offer ya kwenda Zanzibar kwa Team Nisha mara baada ya filamu yake mpya ya GUMZO kuingia sokoni tarehe 27 mwezi huu wa February. Team nisha imekuwa ikizikubalia kazi za Nisha na Nisha mwenyewe na kumsapoti kwenye kazi zake. Mtu yeyote yule huweza kujiunga na Team Nisha  WhatsApp kama unazikubali filamu za Nisha na kazi za Nisha. Nisha na Team Nisha pia hutembelea na kutoa misaada kwa wasiojiweza kama vile watoto yatima.

                                                                       Nisha

No comments:

Post a Comment