Star maarufu wa filamu Swahiliwood Salma Jabu Nisha yupo location maeneo
ya Dar es salaam akishuti filamu yake mpya huku
akiwa amemshirikisha Agnes Masogange ambaye ni video queen maarufu
nchini. Katika filamu hiyo mpya pia yupo Jenifer aliyetamba na marehemu
Kanumba katika filamu za Uncle JJ na This Is It. Pia yupo mchekeshaji
maarufu Senga ambaye anaonekana kudatishwa na wowowo la Agnes Masogange
kama anavyoonekana pichani hapo chini..................
yeep lazima kielewekeeeee
ReplyDelete