|
Yuster |
Yuster Nyakachara ni msanii wa filamu anayekuja kwa kasi nchini kiasi
cha kuwa tishio kwa mastaa wengine wakubwa kwasasa. Ukiachilia uigizaji
Yuster ni mmiliki wa kampuni ya utengenezaji wa filamu iitwayo Eagle
Entertainment ambayo tayari imeshatoa filamu nyingi na kwasasa inakuja
na filamu mpya inaitwa Majuto Si Hasara itakayoingia sokoni hivi
karibuni huku wastaa wengine wakiwa Jackline Wolper na Slim Omar
Yuster
No comments:
Post a Comment