Saturday, 15 February 2014

YUSTER NYAKACHAKA AMUWEKA HADHARANI MPENZI WAKE MZUNGU.

Muigizaji wa filamu nchini Yuster Nyakachaka alimuweka kweupe mpenzi wake mwenye asili ya kizungu kupitia mtandao mmoja wa kijamii jana katika siku ya wapendanao. Angalia picha hapo chini Yuster akiwa na mwandani wake.


No comments:

Post a Comment