|
Nisha |
Star wa filamu Swahiliwood Salma Jabu Nisha ameingiza sokoni filamu yake
mpya ya GUMZO leo hii tarehe 27 February. Katika filamu hiyo wapo
mastaa wengine kama King Majuto, Wastara Juma, Hemedy na Tausi.
Hakikisha unapata nakala yako halisi ya GUMZO.
No comments:
Post a Comment