Monday, 17 February 2014

SALMA JABU NISHA ATOA MISAADA YA VYAKULA NA VINYWAJI KWA WATOTO YATIMA HUKO VINGUNGUTI.

Star wa filamu Swahiliwood Salma Jabu Nisha juzi akiwa na timu yake walitoa misaada ya vyakula na vinywaji katika kituo cha watoto yatima cha Mwana Orphans kilichopo Vingunguti jijini Dar es salaam. Watoto hao walifarijika sana baada ya kumuona Nisha live na kufurahia misaada aliyowapa na kuwaahidi kuwatembelea kila mwezi. Angalia picha hapo chini.................

                                    Nisha akiwa kituoni hapo
Misaada ya vyakula na vinywaji alivyotoa
watoto wakimsikiliza Nisha kwa makini
mwanzilishi wa kituo hicho Mam Ummy akiwakaribisha wageni

                                  Team Nisha wakiwa mbele ya watoto
                                            all images by Globalpublishers

No comments:

Post a Comment