Actress Salma Jabu Nisha is back from China and the gift she brought to us is non other than hot and sexy photos. From rocking long t-shirt to flaunt her sexy legs to floral mini dress. let's say this is her best photo shoot so far. Look more pics below...........
Tuesday, 8 September 2015
Thursday, 3 September 2015
Photos: Kutoka Birthday Ya Salma Jabu Nisha.
Muigizaji wa filamu nchini Salma Jabu Nisha alifanya birthday party yake siku chache zilizopita na hizi ni picha za tukio hilo........
Kama Ningetaka Mtoto Mweupe Ningezaa Na Mzungu: Aunty Ezekiel
Aunty Ezekiel amewajia juu mashabiki wake wanaomuongelea vibaya mtoto aliyezaa na mnenguaji wa Diamond Platnumz, Mozee Iyobo.
Friday, 21 August 2015
Lulu Avamiwa Na Vibaka.
Elizabeth Michael ‘Lulu’ amekumbwa na masaibu mapya ya kuvamiwa na vibaka nyumbani kwake, Mbezi Beach jijini Dar na kumuibia simu zake mbili aina ya Iphone.
Tukio hilo lilitokea hivi karibuni ambapo wezi hao wanadaiwa kuruka ukuta na kufanikiwa kuvunja dirisha la chumba anacholala mrembo huyo na kumliza simu hizo huku yeye akiwa amelala fofofo.
Kwa mujibu wa chanzo makini, wezi hao walitumia mbinu za ‘kisayansi’ kutekeleza zoezi lao kwani siku hiyo Lulu alirudi nyumbani mapema na akawa anachati kwa kutumia moja ya simu hizo, ghafla akapitiwa ambapo alikuja kushtuka na kukuta dirisha limevunjwa na simu zimetoweka.
Gabo: Sijaona Msanii Wa Kushindana Nae Katika Filamu Nchini.
Msanii wa filamu aliyejizolea umaarufu miaka ya hivi karibuni, Salim Ahmed maarufu kwa jina la Gabo amesema haoni msanii anayempa changamato.
Akizungumza kwenye kipindi cha Take One cha Clouds TV, Gabo alisema wengi wamekuwa wakimwambia anaringa kutokana na kuwaambia ukweli.
“Kwa hapa Tanzania sijui ndio maana wanasema mimi naringa,” alisema Gabo alipoulizwa ni msanii gani anayempa changamoto.
Saturday, 8 August 2015
Nisha Azungumzia Mambo Mbalimbali Akiwa China
Star wa filamu nchini Salma Jbau Nisha kwasasa yupo nchini China kikazi na pia kuangalia fursa za kibiashara. Swahiliworldplanet ilipatana nafasi ya kuzungumza nae mchache kama ifuatavyo...
Wednesday, 8 July 2015
Best Comedian Female Tanzania Salma Jabu ''NISHA'' Kutoboa Nje Ya Nchi
Mwanadada SALMA JABU NISHA baada ya ''MTAA KWA MTAA'' sasa ni ''Nchi kwa Nchi''. Msanii wakike wa uchekeshaji ambaye nadiriki kusema ndio anaongoza kwasasa nchini Tanzania kwa kujituma kwenye kazi yake hivi sasa yupo nchini ''CHINA'' kwa ajili ya Project yake mpya. Kampuni yake ya Nisha's Film Production imejiaandaa vyema kuhakikisha inaendelea kuwapa burudani pamoja na Elimu kama ilivyo kawaida yake. Kwa habari zaidi unaweza kuwa follow instagram @ochu_255
@nishabebee
@nishasfilmproduction au unaweza kuwapata facebook
salma jabu nisha
othman homoud thiney pia unaweza kulike page yao
team nishas film production
Nisha akiwa na baadhi ya wana Team yake ''TEAM NISHA'' waliojitokeza kumsindikiza
Trim&Nisha&Munira wakiwa katika kiwanja cha Mwl. Julias K. Nyerere
Happy&Nisha mmoja wa member wa Team Nisha
Production Manager Othman thiney&Nisha na kijana mtanashart kutoka Team Nisha
Mosses&Nisha&Zahra
NEWS BY BONGOHOOD
@nishabebee
@nishasfilmproduction au unaweza kuwapata facebook
salma jabu nisha
othman homoud thiney pia unaweza kulike page yao
team nishas film production
Nisha akiwa na baadhi ya wana Team yake ''TEAM NISHA'' waliojitokeza kumsindikiza
Trim&Nisha&Munira wakiwa katika kiwanja cha Mwl. Julias K. Nyerere
Happy&Nisha mmoja wa member wa Team Nisha
Production Manager Othman thiney&Nisha na kijana mtanashart kutoka Team Nisha
Mosses&Nisha&Zahra
NEWS BY BONGOHOOD
Wednesday, 24 June 2015
Komedi Kumpeleka Nisha Ughaibuni
Sikutaka kusema mapema ila wameniwahi,..
😢tukijaaliwa na ahsante M'Mungu we ni mwema sana... Kikubwa ahsanteni sana mashabiki zangu wote,nyi ndo mnaotenda haya.
Management yng yote ahsante...
#MTAAKWAMTAA ahsante 😢😭dah
Nisha punguza comedy haikufai.. guyz kwny ugali usichague kikubwa kiwe halali ☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆
Sunday, 21 June 2015
Hii Ndioo Maana Ya Msemo Wa Msanii Ni Kioo Cha Jamii
Namshukuru M/MUNGU kwa kuweza kutusaidia kufanikisha jambo nililolipanga kuwa iwe kawaida yangu kuwasaidia wale wenye matatizo na waishio katika mazingira magumu napenda kuwashukuru watoto wangu TEAM NISHA kwa kujumuika nami jana bila kujali umbali tuliokwenda pia natoa shukrani zangu za dhati kwa vyombo vya habari.
Napenda kuongea jambo moja kuna watu wanasema nikitoa mkono wa kushoto wakulia usijue wakiwa namaana unapotoa sadaka hutakiwi kutangaza huku wakiwa wamesahau kuwa mimi ni msanii na msanii ni kioo cha jamii natakiwa nifanye mambo mazuri na kuionyesha jamii ili nawao waige yale mazuri niyafanyayo.
WANAMAHITAJI MENGI WANAYO HITAJI
KAMA VITANDA,MAGODORO,MASHUKA,VYANDARUA
Napenda kuongea jambo moja kuna watu wanasema nikitoa mkono wa kushoto wakulia usijue wakiwa namaana unapotoa sadaka hutakiwi kutangaza huku wakiwa wamesahau kuwa mimi ni msanii na msanii ni kioo cha jamii natakiwa nifanye mambo mazuri na kuionyesha jamii ili nawao waige yale mazuri niyafanyayo.
Hawa watoto wanaishi mbali sana nasehemu wanayoishi hakuna huduma za muhimu zilizopo karibu mfano Maduka,Hospital,Shule n.k hawana usafiri kusema mtoto akiumwa usiku wamuwahishe hospital je tusipo tangaza nani atajua kuna watu wanahitaji msaada?
HIVYO NI BAADHI YA VITANDA VYA WATOTO HAOWANAMAHITAJI MENGI WANAYO HITAJI
KAMA VITANDA,MAGODORO,MASHUKA,VYANDARUA
Monday, 1 June 2015
WABUNGE NA MAWAZIRI WAISIFIA MTAA KWA MTAA
Baada ya kuona Mastar wakiisifia MTAA KWA MTAA sasa Nisha apata msg
kutoka kwa wabunge pamoja na mawaziri wakimpongeza kwa kazi nzuri
aliyoifanya ndani ya MTAA KWA MTAA. Ndani ya hiyo movie kuna mastar nao
waliofanya yao kati ya mastar hao ni Asha Boko,Hemed Suleiman,Diana
Kimary,Tausi Mdegela pamoja na mtoto wake Salma Jabu Nisha ambaye
ameonyesha uwezo mkubwa anajulikana kama Iptysam Othman. Kama ilivyo
kawaida ya Nisha's film huwa haiwachi wasanii wachanga nao wakafanya yao
humo.
Sunday, 31 May 2015
WASANII WACHANGA WAONYESHA UWEZO WAO NDANI YA MTAA KWA MTAA
Kama ilivyokawaida ya Nisha's film production huwa haiwaachi wasanii
wachanga basi humo kwenye MTAA KWA MTAA wamefanya yao. Katika kitu
ambacho hakikutegemewa ni wasanii hao wachanga kuonyesha uwezo wao
wahali ya juu mpaka mtu ushindwe kutambua kama kweli hawa ndio mara yao
ya kwanza au ni wakongwe katika sanaa. Kama huja nunua Dvd ya MTAA KWA
MTAA kanunue sasa ili uweze kujionea uwezo wa wasanii hao wachanga
katika sanaa ya uigizaji. Nisha's film production lengo lake kubwa ni
kuwainua wasanii wa changa hivyo huwapa nafasi za kucheza katika movie
zinazotoka Nisha's film zam kwa zam. Kama na wewe ni msanii mchanga na
unahitaji kushiriki katika movie za Nisha's film basi fanya ku follow
page zetu za instagram ambazo ni @nishabebee @nishasfilmproduction
@ochu_255 na kwa wale waliopo facebook unaweza ku join katika group letu
ambalo ni Team nisha films production au unaweza kulike page yetu
Nisha's film production pia kama upo whatsapp unaweza kuwasiliana na
Production manager wa Nisha's film bwana Othman kwa no 0789 586057.
Thursday, 28 May 2015
MTAA KWA MTAA YAWA LULU
Habari kutoka Steps Entertainment Ltd asubuhi yaleo wamepokea oda nyingine kubwa ya movie mpya iliyo toka leo inayojulikana kama MTAA KWA MTAA. Tuliwasiliana na mmoja wa wafanya kazi wa hapo steps alisema wanajiandaa kutoa copy nyengine maana zilizopo hazitotosha kwani mpaka sasa washa pokea oda nyingi za hapa Dar es salaam ukiashilia mbali za mikoani. Steps walimpongeza msanii. Salma jabu nisha kwa kazi nzuri nakudai yeye ndio anaongoza kwa mauzo sokoni.
Wednesday, 27 May 2015
NISHA ASHANGAZA MAMILION YA WATU
Tuesday, 26 May 2015
MTAA KWA MTAA Toka Kwa Nisha, Hemedy, Asha Boko, Diana Kimaro Alhamisi Hii Kuingia Sokoni.
Filamu kali sana ya MTAA KWA MTAA toka kwa mastaa wa filamu nchini Salma Jabu Nisha, Hemedy, Diana Kimaro, Tausi mdegela, Asha Boko na Manaiki Sanga inatarajiwa kuingia rasmi sokoni alhamisi ya wikii. Filamu hiyo iliyoongozwa na Lamata Leah Mwendamseke tayari imeonekana kuwabamba watu wengi kupitia promo za picha mbali mbali. Utaikosaje sasa !. Hakikisha unanunua nakala yako halisi. Anaglia baaadhi ya picha toka filamu hiyo........
Sunday, 24 May 2015
TUKUTANE SOKONI-NISHA
Kwanza napenda kumshuru m/mungu kwa kila kitu pia napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa mashabiki zangu kwa kuweza kunipigia kura yaliyo pita sindwele tugange yajayo. Ninachopenda kuwaambia mshabiki zangu zitovunjika moyo nitaendelea kuwapa burudani na mwisho wa mwezi huu filamu mpya kutoka Nisha's film inayojulikana kama MTAA KWA MTAA itaingia sokoni hivyo msikose kununua nakala original. Napia napenda kutoa pongezi zangu za dhati kwa baba yangu kipenzi King Majuto kwa kuweza kuchukua tuzo na wote kwa ujumla nawaambia nawapenda sana kikubwa tuongeze juhudi katika kazi na upendo naimani tutafika pale tunapopataka.
MTAA KWA MTAA MWISHO WA MWEZI HUU KUWA MTAANI
MTAA KWA MTAA MWISHO WA MWEZI HUU KUWA MTAANI
Thursday, 21 May 2015
Nisha Awa Kimbilio La Wanyonge Na Wasanii Chipukizi.
Kwa takriban miaka 4 tangu aanze kufanya filamu zake mwenyewe,Star machachari wa filamu,anayejielewa,asiye na scandals na tishio kwa wasanii wote Tanzania (wakike kwa wanaume)mwenye uoga wa M'Mungu bi Salma Jabu Nisha,amekuwa kimbilio la wanyonge kwa kuwa number moja ya msanii asiye mbinafsi na kusaidia wasanii wachanga kwa kuwachezesha ktk movie zake na kusaidia wasiojiweza (yatima,wajane,walemavu n.k)Nisha amekuwa si mtu wa maneno sana zaidi ya vitendo,na kikubwa zaidi si mtu wa kujigamba ana nini na nn,ndio maana tunaamini M'Mungu anambariki kwa njia hizo.
Wednesday, 20 May 2015
SIKU ZIMEKWISHA-NISHA
Siku zinazidi kusonga mbele na ile kitu tunayoisubiriria kwa hamu kubwa ndio inakaribia kutoka. MTAA KWA MTAA ndio movie inayo bamba kila kona ya nchi nimepata taarifa hadi nchi za jirani nazo wanasubiria kwa hamu kubwa. Ninacho waomba mashabiki zangu tununue nakala halisi ili mimi msanii wako niweze kuendelea kukupa burudani. Ili kuitambua DVD original kuna stika za TRA na STEPS zilizobandikwa katika DVD hizo mbazo stika hizo zinashikika na DVD fake stika zake hazishikiki yani zimepigwa copy zile kava original hiyo ninjia moja wapo yakujua DVD original na DVD fake.
NISHA BEBEE NA ASHA BOKO
MTAA KWA MTAA MWISHO WA MWEZI HUU
SALMA JABU NISHA NI MMOJA KATI YA WANOWANIA TUZO YA MCHEKESHAJI BORA KWA UPANDE WA WANAWAKE KATIKA TUZO ZA TANZANIA FILM AWARDS 2015 ILI KUMUWEZESHA KUSHINDA NENDA KWENYE UWANJA WA MSG ANDIKA TFA 150 KWENDA NO 15522 UNAWEZA KUPIGA KURA KADRI UWEZAVYO SIKU ZIMEBAKI CHACHE. PIGA KURA YAKO SASA
NISHA BEBEE NA ASHA BOKO
MTAA KWA MTAA MWISHO WA MWEZI HUU
SALMA JABU NISHA NI MMOJA KATI YA WANOWANIA TUZO YA MCHEKESHAJI BORA KWA UPANDE WA WANAWAKE KATIKA TUZO ZA TANZANIA FILM AWARDS 2015 ILI KUMUWEZESHA KUSHINDA NENDA KWENYE UWANJA WA MSG ANDIKA TFA 150 KWENDA NO 15522 UNAWEZA KUPIGA KURA KADRI UWEZAVYO SIKU ZIMEBAKI CHACHE. PIGA KURA YAKO SASA
Subscribe to:
Posts (Atom)