Saturday, 5 July 2014

Jokate Akana Kuvunja Ndoa Ya Dida Na Ezden.

Model, actress na designer maarufu nchini Jokate Mwegelo amepangua madai ya kuwa inawezekana anahusikia na kuvunjika kwa ndoa ya Dida na Ezden. Jokate na Ezden wapo karibu wakiwa watangazaji wa kipindi cha The One Show kupitia TV1, hata hivyo akizungumza na GPL Jokate aliwawakia watu wanaopenda kuungaunga mambo kwa kusema

"Yaani watu wanapenda kuungaunga maneno kweli, jamani mimi siwezi hata siku moja kuwa na Edzen, ni mfanyakazi mwenzangu halafu Dida ni mshikaji wangu siwezi kabisa, tena wasitake kunitibulia.”

No comments:

Post a Comment