Sipendi Kufanya Mambo Ya Ajabu Yatakayopelekea Kunichafua: Nisha
|
Nisha |
Star wa filamu ya Zena Na Betina, Salma Jabu Nisha amesema kuwa katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhan hapendi kabisa kufanya mambo yasiyompendeza Mungu bali anafanya yote yaliyo mema. Nisha amesema kuwa katika maisha yake ya kila siku pia huwa hapendi kunywa vileo wala kwenda Club sana. Nisha amesema kuwa hafikirii kutengeneza skendo kama baadhi ya wasanii wenzake ili tu wazidi kuwa maarufu kwa madai ni kujichafua na kujishushia heshima mbele ya jamii.
Hahaaaahaaa naiwe hivyo
ReplyDelete