Habari wapenzi,,, tuanze na hizi za TUZO ZA WATU 2015(Tanzania People's Choice Awards)
maelekezo jinsi ya kupiga kura
maelekezo jinsi ya kupiga kura
Andika neno TUZO kwenye uwanja wa sms za kawaida kwenda number 15678
ukiletewa maelekezo andika TZW 8 SALMA JABU NISHA
ukijibiwa umempigia kura Salma andika tena TZW 12 HAKUNA MATATA,Ukirudishiwa majibu utakuwa umempigia msanii wako unayempenda na kuipigia filamu ya HAKUNA MATATA,,(simu yako iwe na pesa km mia 2 tofauti na kujiunga),

nawapenda wote ahsanteni kama wanipenda haswa,piga kura mara nyingi uwezavyo,na repost hii picture na huu ujumbe hadi unifikie,mwaaah!!! tuwe na siku njema
No comments:
Post a Comment