Msanii wa filamu mwenye jina kubwa na heshima kwa jamii
Salma Jabu Nisha ashangaza watu wengi baada ya filamu yake ya MTAA KWA MTAA
inayotoka kesho siku ya alhamis tarehe 28/05/2015 kuisha steps na mwakala nchi
nzima kugombaniana,hivyo kuwapa kuwapa kazi tena steps intertainment kutoa
nakala nyingi zaidi za filamu hiyo ya MTAA KWA MTAA ambayo imeoneshwa kupendwa na kukubaliwa sana na mashabiki kabla haijatoka, imeitwa maajabu kutokana
kwamba filamu za star huyo asiyekuwa na scandals,mwenye sifa uchapakazi
‘’NISHA’’ kuvunja record kazi zake kwa
mauzo na kumfanya azidi kung’ara na kutoa filamu kali kupita zote kila
atoapo,filamu hiyo kali ya MTAA KWA MTAA amewashirikisha waigizaji mahiri kama Asha book,Hemedy
Suleiman,Tausi Mdegela,Diana Kimary huku motto wake Nisha Iptysam Othman
akionesha kung’ara zaidi naye,MTAA KWA MTAA imekuwa kiburudisho kikubwa haswa
kwa kuonekana Nisha na Asha Boko kwenye mavazi ya Kitrafic huku kila mtu
akitamani kujua ndani kuna nini na imekuwaje wakali hawa kuwa katika mavazi
hayo. MTAA KWA MTAA itatoka kesho tarehe 28/05/2015 Mungu ibariki Mtaa kwa Mtaa
,ibariki Nisha’s film production,wabariki wasanii wanaojituma Tanzania.
Hongera Nisha MTAA KWA MTAA itazidi kufanya
maajabu na kushangaza zaidi
Jaribu tupate hizo filamu zako huku Kenya, napenda sana filamu zako you are the only one for all sioni mwengine.
ReplyDelete