Wednesday, 8 July 2015

Best Comedian Female Tanzania Salma Jabu ''NISHA'' Kutoboa Nje Ya Nchi

Mwanadada SALMA JABU NISHA baada ya ''MTAA KWA MTAA'' sasa ni ''Nchi kwa Nchi''. Msanii wakike wa uchekeshaji ambaye nadiriki kusema ndio anaongoza kwasasa nchini Tanzania kwa kujituma kwenye kazi yake hivi sasa yupo nchini ''CHINA'' kwa ajili ya Project yake mpya. Kampuni yake ya Nisha's Film Production imejiaandaa vyema kuhakikisha inaendelea kuwapa burudani pamoja na Elimu kama ilivyo kawaida yake. Kwa habari zaidi unaweza kuwa follow instagram @ochu_255
 @nishabebee
@nishasfilmproduction au  unaweza kuwapata facebook
salma jabu nisha
othman homoud thiney pia unaweza kulike page yao
team nishas film production
                                                      Nisha akiwa na baadhi ya wana Team yake                                                                                  ''TEAM NISHA'' waliojitokeza kumsindikiza
                             Trim&Nisha&Munira wakiwa katika kiwanja cha Mwl. Julias  K. Nyerere
                                                     
                                                      Happy&Nisha mmoja wa member wa Team Nisha
 Production Manager Othman thiney&Nisha na kijana mtanashart kutoka Team Nisha
                                                             Mosses&Nisha&Zahra





NEWS BY BONGOHOOD


No comments:

Post a Comment