Saturday, 9 May 2015

Nisha Aguswa Na Wahanga Wa Mafuriko Nchini.

Huu ndio ujumbe wa Nisha kuhusu wahanga wa mafuriko nchini........


"Kwa niaba ya team yangu nzima ya @nishasfilmproduction Naomba nichukue nafasi hii,kuwapa pole watanzania wenzangu wote waliopatwa na maafa/vifo/kupoteza mali na kila aina ya mtihani ktk kipindi hiki kigumu tulichonacho (cha mafuriko),M'Mungu awatie nguvu,inshaAllah M'Mungu atawapa njia,nami na team yangu nzima ya @nishasfilmproduction tunawapa pole na kuwaombea balaa hili liishe,mrudi ktk amani, tuko pamoja nanyi AMEN"

No comments:

Post a Comment