Natumaini wote ni wazima wa afya kwa wale wenye matatizo nawombea kwa M/mungu awaondoshe na awajalie afya njema napenda kuwaambia mashabiki zangu na Watanzania wote kwa ujumla kuwa tumebakiwa na wiki moja ya kupiga kura kwa msanii unayempenda. Ili kuniwezesha mimi kushinda tuzo ya mchekeshaji bora kwa upande wa wanawake nenda kwenye uwanja wa msg andika TFA 150 kwenda no 15522 na unaweza kupiga kura mara nyingi uwezavyo. PIGA KURA SASAAA.
MTAA KWA MTAA COMING SOON
No comments:
Post a Comment