Hatimaye ile video ya wimbo mpya ya mchekeshaji Masai Nyotambovu aliyomshirikisha Rich Mavocko na Kitokololo anaitambulisha rasmi leo saa tano usiku katika kipindi cha Friday Night Live kinachorushwa EATV. Hivyo mashabiki wa Masai Nyotambovu msikose kutazama kipindi hicho, sapoti yenu ni muhimu sana.
No comments:
Post a Comment