"Hii ni kwa mashabiki zangu
wote.. Nisha, Jenifer na Iptysam othman tunawatakia HAPPY WOMEN'S DAY...
Tuwapende na kuwaheshimu wanawake.. hakuna kama mwanamke.. mwanamke
ndiye anayejua uchungu. Na ndiye mwenye huruma sana kwa jamii..
tunawapenda wanaume ila leo ni women's day" amesema Salma Jabu Nisha
No comments:
Post a Comment