Baada ya kuona Mastar wakiisifia MTAA KWA MTAA sasa Nisha apata msg
kutoka kwa wabunge pamoja na mawaziri wakimpongeza kwa kazi nzuri
aliyoifanya ndani ya MTAA KWA MTAA. Ndani ya hiyo movie kuna mastar nao
waliofanya yao kati ya mastar hao ni Asha Boko,Hemed Suleiman,Diana
Kimary,Tausi Mdegela pamoja na mtoto wake Salma Jabu Nisha ambaye
ameonyesha uwezo mkubwa anajulikana kama Iptysam Othman. Kama ilivyo
kawaida ya Nisha's film huwa haiwachi wasanii wachanga nao wakafanya yao
humo.
No comments:
Post a Comment