Star wa filamu nchini Salma Jabu Nisha ametoa picha mpya kutoka photo shoot aliyofanya hivi majuzi. Kiukweli Nisha ametokelezea kama kawaida yake. Filamu mpya ya KIBOKO KABISA toka kwa Nisha na Mzee Majuto inaingia sokoni Ijumaa hii. usikose kununua nakala yako halisi. Picha Zaidi hapo chini....
No comments:
Post a Comment