Wednesday, 27 January 2016

Nisha, King Majuto, Ben Branco Wafanya Makubwa Ndani Ya KIBOKO KABISA.

Kama kawaida star mkubwa wa filamu nchini Salma Jabu Nisha amesikiliza kilio cha mashabiki wake kwa muda sasa wakitaka filamu mpya. Nisha ameamua kusikiliza kilio cha mashabiki kwa kuja na filamu mpya ya KIBOKO KABISAA akiwa na Mzee Majuto, Ben Branco na wanafunzi wengine watukutu humo ndani. Filamu inahusu maisha ya shule ya boardin g Nisha akicheza kama Matron na King Majuto kama mpishi. Filamu ya KIBOKO KABISA inaingia sokoni tarehe 29 Ijumaa hii. Usikose kununua nakala yako halisi.

No comments:

Post a Comment