HAKUNA MATATA ni filamu inayotoka katika kampuni ya Nisha's film production ambayo imeingia sokoni mwezi huu tarehe 22 ndio filamu inayoongoza kununuliwa sana katika filamu zilizo toka mwezi huu.
Dogo mmoja kutoka Dodoma akiwa amejipatia nakala zake za HAKUNA MATATA hao ndio mashabiki wakubwa wa msanii SALMA JABU NISHA.
KIJANA OTHMAN THINEY KUTOKA DAR ES SALAAM YEYE NDIO MTEJA WA KWANZA KWANI ALIKWENDA KWENYE MADUKA YA STEPS SAA KUMI NA MBILI NA NUSU ALIONA KUSUBIRIA MACHINGA ATACHELEWA UTAMU WA HAKUNA MATATA
No comments:
Post a Comment