02.01.2015
kutakuwa na dua itakayosomwa kwenye kaburi lake kisutu Dar es salaam
kuanzia saa nne asubuhi,na badae kutakuwa na dua nyumbani Tabata pamoja
na chakula cha mchana kwa watakaojaliwa naomba tuungane pamoja kwenye
dua hii, R.I.P Juma Kilowoka Sajuki
No comments:
Post a Comment