Wednesday, 31 December 2014

WADAU MAONI YENU KWA AJILI YA KAZI MPYA KATIKA MWAKA MPYA NA MUONEKANO MPYA


HABARI ZENU WADAU WA NISHA'S FILM PRODUCTION KAMPUNI YENU MUIPENDAYO YA MWANA DADA SLMA JABU NISHA INATARAJIA KUINGIA MZIGONI KAMA ILIVYO KAWAIDA YETU HUWA TUNAPENDA KUWAPA NAFASI AU KUCHAGUA KILE KITU AMBACHO MNAKIPENDA KWANI NYIE NDIO WATEJA WA KAZI TUNAZO ZIFANYA. WEWE KAMA MDAU TUNAOMBA UTUTAJIE MSANII GANI WA KIUME UNGEPENDA ACHEZE NAYE KATIKA MOVIE YAKE MPYA AU KITU GANI AONGEZE. MAONI YENU TAFADHALI

2 comments:

  1. Ningomba ucheze na mimi coz mimi pia nimsanii mchanga au naomba hata nafasi katika muvi yako

    ReplyDelete
  2. John Mwende utaratibu wa kufanya kazi katika kampuni ya Nisha's Film upo na unaeleweka kwa habari zaidi ingia katika Group la Facebook ''TEAM NISHA'S FILM PRODUCTION''

    ReplyDelete