Lulu |
Akizungumza na TZA1961 Lulu alisema "Hakuna anayeweza kukubali kufanya ngono kama kuku, mara nyingi nimekuwa nikiota ninafanya mapenzi na wanaume nisio wajua na baada ya kuuliza nikaambiwa ni jini mahaba na hili limekuwa likinitesa na limepelekea niwe na mvuto wa kupendwa zaidi na wanaume ambao baadhi yao huwa nashindwa kujizuia kuwapa uroda"
No comments:
Post a Comment