Nominees wa tuzo za African Movie Academy Awards 2014 wametajwa huku
S.Africa na Ghana zikitamba kwenye tuzo hizo. Hata hivyo cha kusikitisha
ni kwa Tanzania kupata nomination moja tu ya Best Short Film kupitia
Siri Ya Mtungi. Sio kuwa Tanzania haina filamu zenye sifa za kuingia
kwenye tuzo hizo, filamu zenye vigezo vya kupenya kwenye categories
mbalimbali zipo sana tatizo kubwa ambalo nilijaribu kuwauliza baadhi ya
wasanii na watayarishaji wa filamu siku za nyuma walisema kuwa tatizo ni
wasambazaji wanaosambaza kazi zao kwani wao ndiyo wanaomiliki kazi hizo
badala ya wao wasanii kutokana na mikataba kandamizi na ya kinyonyaji.
Huku wasambazaji wakiwa hawaoni umuhimu wa kupeleka filamu kwenye tuzo
za nje ya nchi kwa ajili ya kuitangaza Tanzania na kuzidi kuikuza tasnia
ya filamu Swahiliwood.
Tatizo linaloonekana ni kutokuwa na mfumo imara na sera ya filamu
Tanzania ambayo kwasasa juhudi zinafanywa na Shirikisho La Filamu
Tanzania(TAFF) kwa kushirikiana na wasanii na wadau wengine ili tasnia
ya filamu iwe sekta rasmi inayotambulika serikalini. Wito wetu ni kuwa
badala ya kufikiria pesa pekee wasambazaji wa filamu nchini mnatakiwa
kutoa kipaumbele katika kutuma kazi za wasanii katika tuzo mbalimbali
kwasababu licha ya kuitangaza na kuzidi kuikuza tasnia ya filamu
Swahiliwood lakini pia itaongeza idadi ya mashabiki na wanunuzi wa
filamu za kitanzania hivyo wasambazaji kufanya biashara zaidi. BASATA pi
haiwezi kukwepa lawama kwa kushindwa kuruhusu na kuweka mazingira
mazuri ya wadau wa filamu kuandaa tuzo za ndani ya nchi tena zaidi ya
moja ambazo mara nyingi kwa nchi yoyote ile iliyopiga hatua katika
tasnia ya filamu huwa ndiyo kipaumbele cha kwanza na huchochea mwamko
wasanii kufanya kazi nzuri zaidi na pia kupata hamasa ya kutuma kazi zao
nje ya nchi kwenye matamasha na tuzo mbalimbali.
Hiyo hapo chini ndiyo list nzima ya nominees wa tuzo za AMAA 2014.
The full nomination list
EFERE OZAKO AMAA 2014 AWARD FOR BEST SHORT FILM
Haunted Soul – Kenya
Siriya Mtungi – Tanzania
Dialemi – Gabon
New Horizon – Nigeria
Nandy l’orpheline – Mali
Living Funeral – Nigeria
Phindile’s Heart – South Africa
AMAA 2014 AWARD FOR BEST ANIMATION
The Hare and the Lion – Burkina Faso
Thank God its Friday – Morocco
Leila – Nigeria
Khumba – South Africa
The Brats and Toy Thief – Mozambique
AMAA 2014 AWARD FOR BEST DOCUMENTARY
Hamu Beya- The Sand Fishers – Mali
Potraits of a Lone Farmer – Nigeria/Denmark
Kushaya Ingagasi – South Africa
Daughters of the Niger Delta – Nigeria
Sincerely Ethiopia – Ethiopia
Ousmane Sembene AMAA 2014 AWARD FOR BEST FILM IN AN AFRICAN LANGUAGE
The forgotten Kingdom – South Africa
B for Boy – Nigeria
Omo Elemosho – Nigeria
Onye Ozi – Nigeria
Ni Sisi – Kenya
AMAA 2014 AWARD FOR BEST FILM BY AN AFRICAN LIVING
ABROAD: THE JURY DECIDED THAT THERE WILL BE NO NOMINATION THIS YEAR FOR
THIS CATEGORY.
AMAA 2014 AWARD FOR BEST DIASPORA SHORT
Passage – Bahamas
Heaven – USA
Tickle Me Rich – Trinidad and Tobago
Red – USA
AMAA 2014 AWARD FOR BEST DIASPORA DOCUMENTARY
Finding Samuel Lowe: From Harlem to China – USA/CANADA
Freedom Summer – USA
No Bois Man, No Frad – Trinidad and Tobago
Through the Lens Darkly : Black Photographers and the Emergence of a People – USA
AMAA 2014 AWARD FOR BEST DIASPORA FEATURE
Tula The Revolt – Curacao
AZU – Venezuela
Kingston Paradise – Jamaica
Retrieval – USA
AMAA 2014 AWARD FOR ACHIEVEMENT IN PRODUCTION DESIGN
Northern Affair – Ghana
Of Good Report – South Africa
Ni Sisi – Kenya
Good Old Days: Love of AA – Ghana
Apaye – Nigeria
AMAA 2014 ACHIEVEMENT IN COSTUME DESIGN
Good Old Days: Love of AA – Ghana
Apaye – Nigeria
Omo Elemosho – Nigeria
Ni Sisi – Kenya
The Forgotten Kingdom – South Africa
AMAA 2014 AWARD FOR ACHIEVEMENT IN MAKE-UP
A Mile From Home – Nigeria
Apaye – Nigeria
Once Upon A Road Trip – South Africa
Felista Fable – Uganda
Potomanto -Ghana
AMAA 2014 AWARD FOR ACHIEVEMENT IN SOUNDTRACK
Once Upon A Road Trip
Onye Ozi- Nigeria
Felix
Of Good Report- South Africa
Potomanto- Ghana
AMAA 2014 AWARD FOR ACHIEVEMENT IN VISUAL EFFECT
A Mile From Home
Omo Elemosho- Nigeria
Secret Room -
Ni Sisi- Kenya
Of Good Report- South Africa
AMAA 2014 AWARD FOR ACHIEVEMENT IN SOUND
Felix-
Northern Affair -
Nothing For Mahala-
Of Good Report- South Africa
The Forgotten Kingdom -
AMAA 2014 AWARD FOR ACHIEVEMENT IN CINEMATOGRAPHY
Once Upon A Road Trip
Good Old Days: Love of AA
Of Good Report
The Forgotten Kingdom
The Children of Troumaron
AMAA 2014 AWARD FOR ACHIEVEMENT IN EDITING
Of Good Report
Accident
Once Upon A Road Trip
Potomanto
Felix
AMAA 2014 AWARD FOR ACHIEVEMENT IN SCREEN PLAY
B For Boy
Of Good Report
Accident
Potomanto
Felix
AMAA 2014- BAYELSA STATE GOVERNMENT ENDOWED AWARD FOR BEST NIGERIAN FILM
Apaye
B For Boy
Accident
Murder at Prime Suites
Omo Elemosho
AMAA 2014 AWARD FOR BEST CHILD ACTOR
Tobe Oboli – Brothers Keeper
Lebohang Ntsane – Forgotten Kingdom
Hlayani Junior Mabasa – Felix
1. AMAA 2014 AWARD FOR BEST YOUNG/ PROMISING ACTOR
Evelyn Galle Ansah – Good Old Days: For the Love of AA
Petronella Tshuma – Of Good Report
Tope Tedela – A Mile From Home
Kitty Phillips – The Children of Troumatron
Shawn Faqua – Lagos Cougar
AMAA 2014 AWARD FOR BEST ACTOR IN A SUPPORTING ROLE
Desmond Elliot – Finding Mercy
Thapelo Mofekeng – Felix
Yomi Fash-Lanso – Omo Elemosho
Aniekan Iyoho – Potomanto
Tshamano Sebe – Of Good Report
No comments:
Post a Comment