Ulimwengu wa mastaa ni vituko kila siku !..... Latest gossip ni kuhusu
picha mpya zinazosambaa kwa kasi mitandaoni za Star mkubwa wa filamu
nchini Irene Uwoya akidaiwa kumshika maeneo yaleee a.k.a nyeti star
mwenzake wa filamu Haji Adam(Baba Haji). Tukio hilo lilitokea juzi
katika kuhitimisha miaka mitatu ya kundi la Bongo Movie Unity,
Inaonekana Uwoya alikuwa anataniana na Baba Haji na kamera kuchukua
picha iliyotafsiriwa kivingine. Lakini ukiangalia kwa makini hiyo picha
ya kwanza hapo chini hakuna ukweli wowote wa tukio hilo kwani wawili hao
wanaonekana kucheza muziki na kupeana nafasi ila kamera ikachukua picha
kama wameshikana maeneo yaleeeeee.
Penye minong'ono ndiyo hapa............
Heee ! jamani tumeshafumwa hawa mapaparazi hawachezi mbali..!
Nasema mtuacheeeeeeee........futeni hizo picha harakaaaa
No comments:
Post a Comment