Blog for latest news and gossip, movies,fashions and music.
Tuesday, 20 May 2014
Adam Kuambiana Aagwa Katika Viwanja Vya Leaders.
Shughuli ya kuuaga mwili wa aliyekuwa muigizaji na muongozaji wa filamu hapa nchini, Marehemu Adam Kuambiana inaendelea hivi sasa kwenye viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.
Marehemu kuambiana anatarajiwa kuzikwa leo hii kwenye Makaburi ya Kinondoni hapa hapa jijini Dar.
No comments:
Post a Comment