Wednesday, 7 May 2014

Lucy Komba Amuweka Wazi Mpenzi Wake Mzungu

Star wa filamu Swahiliwood Tanzania, Lucy Komba ameamua kumuweka wazi mpenzi wake ambaye wana muda sasa tangu wawe pamoja. Jamaa huyo ni raia wa Denmark ambaye ni msanii wa muziki na pia akiwa na kazi zake nyingine mbali na muziki. Swahiliworldplanet imefanikiwa kuzipata picha za Lucy na mpenzi wake huyo kama wanavyoonekana pichani.

Lucy yupo nchini Denmark kwa zaidi ya mwezi sasa huku filamu mpya ya Fundi Seremala aliyoigiza na Cloud, Kajala na Amanda [Poshy ikitarajiwa kuingia sokoni hivi karibuni.

Lucy na mpenzi wake

No comments:

Post a Comment