Kuna wasanii wengi hasa chipukizi wangependa kuigiza filamu moja na JB
au kutoka kampuni ya Jeruselem Films inayomilikiwa na JB lakini hawajui
waanzie wapi. Jacob Stephen(JB) ambaye ni star mkubwa wa filamu nchini
ameliona hilo na hivyo kuandika ujumbe huo hapo chini kupitia mtandao
mmoja wa kijamii akiwa na lengo la kuwasaidia wale wenye vipaji vya
kuigiza kupitia filamu zake.......
"Habari njema kwa wote mnaotaka kujua ni jinsi gani mnaweza kujiunga au
kupata nafasi ya kuigiza kwenye filamu zangu. Wasilianeni na kijana
wangu atawapa maelekezo anaitwa Richard 0717061956."
JB
No comments:
Post a Comment