Saturday, 4 January 2014

SANAA YAMRUDISHA NISHA SHULE KUANZA KIDATO CHA TATU.

Muigizaji maarufu Swahiliwood,  Salma Jabu Nisha ameamua kurudi shule kuanza kidato cha tatu(form 3). hayo yameajiri katika filamu yake mpya anayoimalizia kuishuti kwasasa kupitia kampuni yake ya Nisha's Film Productions. Katika filamu hiyo ambayo Nisha anakuja kivingine kabisa yupo na mastaa wengine wengi kama vile Lumolwe Motovolwa, Jenifer aliyetamba na filamu za Kanumba, Agnes Masogange, Manaiki Sanga, Senga, Farida Sabu(Mama Sonia) na wengine wengi. Filamu hiyo imeongozwa na Leah Richard Mwendamseke(Lamata). Juzi tulikuletea sehemu ya kwanza ya behind the scenes ya filamu hiyo na hii ni sehemu nyingine ya utengenezaji wa filamu hiyo...................


No comments:

Post a Comment