Filamu hii ambayo script yake imeandikwa na msanii Irene Sanga,
inachambua maisha katika kijiji ambacho Mzee Nongwa (John Kitime)
ndie mwenyekiti. Mzee huyu ambaye amebobea kwenye udikteta,
anawadhalilisha sana wanakijiji kutokana na mali yake ambayo hupewa na
mwanae jambazi ambaye anaishi mjini. Upinzani mkali unaletwa
na Mzee Ngatogwa (Mzee Magali), ambaye pia ndie msomi hapo kijijini.
Hili linaleta upinzani ugomvi mapigano kati ya pande hizi mbili za hawa
wazee......matokeo....................pata picha za nyuma ya pazia
wakati wa utengenezaji wa baadhi ya scenes za filamu hii ambayo director wake ni Simon Mwakifwamba.
source:
Musicintanzania
No comments:
Post a Comment