|
Isabela |
Isabela Mpanda ambaye ni mwanamuziki na muigizaji wa filamu nchini
ameonekana kuwa katika beef na Sintah kwa kumchana live kupitia mtandao
mmoja wa kijamii. Hata hivyo sababu ya Bella kumtolea uvivu Sintah
ambaye ni muigizaji wa filamu pia na blogger haijajulikana. Bella
aliandika na kuweka picha ya Sintah kama inavyoonekana hapo chini...
"
Wewe
sinta kwa nini unapenda kufwatilia maisha ya watu. Jione apo miwan na
ilo pua lako na miziwa na viguu kama chelewa na mkorogo wa mia 2 .
Nimekuchoka why wewe unapenda kufwatilia mambo ya watu. Nafikir
umenielewa nini namaanisha. Na chokoza hao wapole mimi nitakufuraisha
No comments:
Post a Comment